Paul Sabatier

Tuzo Nobel.png

Paul Sabatier (5 Novemba 185414 Agosti 1941) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Alichunguza sifa za elementi mbalimbali. Mwaka wa 1912 pamoja na Victor Grignard alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Paul Sabatier

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Sabatier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.