Paula Mourão
Ana Paula Leandro de Oliveira Mourão (alizaliwa 2 Mei 1976) ni wakili na afisa wa kijeshi wa Brazil ambaye alihudumu kama Second Lady of Brazil (Mke wa Makamu wa Rais wa Brazil) kuanzia Januari 2019 hadi Desemba 2022 akiwa mke wa pili wa Makamu wa Rais wa 25 wa Brazil, Hamilton Mourão.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "General Mourão é casado com tenente 23 anos mais nova, fã de '50 Tons' e ciumenta". Extra (kwa Kireno). 6 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 4 Februari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paula Mourão kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |