Pays de la Loire
Pays de la Loire ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Ufaransa. Mji mkuu wake ni Nantes.
Pays de la Loire | |||
| |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Nantes | ||
Eneo | |||
- Jumla | 32,082 km² | ||
Tovuti: http://www.paysdelaloire.fr/ |
Wilaya
hariri- Loire-Atlantique (44)
- Maine-et-Loire (49)
- Mayenne (53)
- Sarthe (72)
- Vendée (85)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pays de la Loire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |