Pedro Marieluz Garces
Pedro Marieluz Garcés (au Peter Marielux; 1780 – 23 Septemba 1825) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki ambaye alifariki kama shahidi wa siri ya Kitubio.[1]
Garcés alizaliwa Tarma, Peru, mwaka wa 1780. Akiwa kijana, alijiunga na shirika la Wakamili na akapewa daraja ya ukuhani mwaka wa 1805.
Marejeo
hariri- ↑ "Religiosos Camilos : Necrologio del Convento de la Buenamuerte (1709 – 2009)" (PDF). Reliosocamilosperu.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 3 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2013.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |