Peggy Kornegger

Mfeminia wa Kimarekani

Peggy Kornegger ni mwandishi kutoka Marekani. Katika miaka ya 1970 alijitambulisha kama anarcha-feminist,[1] na alikuwa mhariri wa jarida la kifeministi la Marekani The Second Wave.[2] Makala yake "Anarchism: The Feminist Connection" (1975) ilichapishwa tena kama kijitabu huko New York City na London mnamo 1977, ilitafsiriwa kwa kiitaliano kwa jarida nchini Italia,[3] na kujumuishwa katika kitabu Reinventing Anarchy mnamo 1979.[4] Kitabu chake Living with Spirit, Journey of a Flower Child kilichapishwa mwaka wa 2009.[5]

Wasifu hariri

  • Anarchism: The Feminist Connection (1975)
  • Living with Spirit, Journey of a Flower Child (2009)[5]
  • Lose Your Mind, Open Your Heart (2014)

Marejeo hariri

  1. "Anarchism: The Feminist Connection". 
  2. Graham, Robert (2005). Anarchism: A Documentary History of Libertarian Ideas. ISBN 9781551643106. 
  3. Peggy Kornegger (1982). La via femminista all'anarchismo. (in Italian) Volontà 36 (4).
  4. Howard J. Ehrlich (1979). Reinventing anarchy: what are anarchists thinking these days. London; Boston: Routledge & Kegan Paul. ISBN 9780710001283.
  5. 5.0 5.1 Peggy Kornegger (2009). Living with spirit: journey of a flower child. Indianapolis, Indiana: Dog Ear Publishing. ISBN 9781608440580.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peggy Kornegger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.