Pembe kali (ing. acute angle) ni pembe ambayo kiwango chake ni kubwa kuliko nyuzi 0° lakini pungufu ya nyuzi 90°.


Mifano

hariri

Viungo vya Nje

hariri

Acute angles on math-is-fun