Pembe nyoofu

Pembe nyoofu (ing. straight angle) ni pembe ambayo kiwango chake ni nyuzi 180° kamili.

Kama hujui ni pembe inaonekana kama mstari nyoofu.


MifanoEdit

Viungo vya NjeEdit

Straight angles on math-is-fun