Pera (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Pera inaweza kumaanisha
- Pera, tunda la mti wa mpera
- Pera (Chalinze), kata ya wilaya ya Chalinze kwenye Mkoa wa Pwani, Tanzania
- Pera (Konstantinopoli), mtaa wa kihistoria katika mji wa Konstantinopoli (leo Istanbul, Uturuki)