Pernille Blume (amezaliwa 14 Mei 1994) ni muogeleaji wa Kidenmaki aliyebobea katika hafla za mitindo huru ya mbio. Alishiriki katika Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2012. Katika Olimpiki ya Majira ya Joto mwaka 2016 alikuwa mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio za mita 50 za mitindo huru za wanawake na akashinda medali ya shaba katika mbio za mita 4x100 za medley relay ambapo aliogelea mzunguko wa mtindo huru wa upeanaji mkondo katika mbio za awali na fainali.[1] Alishiriki pia katika Olimpiki ya Majira ya Joto mwaka 2020, akishinda medali ya Olimpiki ya shaba katika mbio za mita 50 za mtindo huru.

Muogeleaji Pernille Blume
Muogeleaji Pernille Blume

Marejeo hariri

  1. "Tokyo Olympics - BBC Sport", BBC Sport (in en-GB), retrieved 2021-12-03