Peruth Chemutai (alizaliwa 10 Julai 1999) ni mkimbiaji wa Uganda wa mbio za kuruka viunzi. Alishinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2020 mjini Tokyo, na kuwa mwanamke wa kwanza wa Uganda kuwahi kushinda medali ya Olimpiki.[1][2] Aliongeza medali ya fedha katika tukio hili katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2024.

Peruth Chemutai

Chemutai ndiye mshikilizi wa rekodi ya Uganda ya mbio za mita 3000 kuruka viunzi na barabara za kilomita 5.

Marejeo

hariri
  1. "Uganda's Chemutai wins gold as Kenya dominate men's 800m", BBC Sport. (en-GB) 
  2. "Chemutai lands surprise steeplechase victory in Tokyo". World Athletics. Iliwekwa mnamo 2021-08-04.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peruth Chemutai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.