Peter Kiilu (1951 - 19 Mei 2020)[1] alikuwa mwanasiasa wa Kenya.

Katika uchaguzi wa ubunge wa 2007 wa Kenya, alichaguliwa katika bunge la Taifa la Kenya kama mwanachama wa Orange Democratic Movement-Kenya (baadaye Wiper Democratic Movement) akiwakilisha eneo bunge la Makueni.

Marejeo

hariri
  1. "Uhuru mourns former Makueni MP Peter Kiilu", The Star, 19 May 2020. Retrieved on 19 May 2020. (en-KE)