Peter Yarrow (Mei 31, 1938Januari 7, 2025) alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani ambaye alipata umaarufu kama mwanachama wa kikundi cha muziki wa folk cha miaka ya 1960 kilichoitwa Peter, Paul and Mary. Yarrow aliandika (pamoja na Lenny Lipton) moja ya nyimbo maarufu zaidi za kikundi hicho, "Puff, the Magic Dragon." [1]

Peter Yarrow

Marejeo

hariri
  1. Obituary for Silvia Tim Yarrow, The Day (New London, Connecticut), February 12, 1993.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Yarrow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.