Phil Croyle
Phil Croyle (30 Oktoba 1949 – 30 Mei 2020) alikuwa mchezaji wa Futiboli ya Marekani aliyeshikilia nafasi ya linebacker. Aliichezea timu ya Houston Oilers kuanzia 1971 hadi 1973 na Buffalo Bills mwaka 1973..[1][2]
Alifariki dunia kutokana na saratani mnamo Mei 30, 2020, akiwa na umri wa miaka 70, huko San Jose, California.[3]
Marejeo
hariri- ↑ "Phil Croyle Stats". Pro-Football-Reference.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-13.
- ↑ "Phil Croyle, LB". Nfl.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-13.
- ↑ Gary Peterson (2020-06-02). "Cal football star, San Jose Fire Dept. battalion chief, dies". Mercurynews.com. Iliwekwa mnamo 2020-06-05.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Phil Croyle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |