Philip Leakey
Mwanasiasa wa Kenya
Philip Leakey (alizaliwa Nairobi, 21 Juni 1949) ni mwanasiasa wa zamani wa Kenya.
Alikuwa mbunge wa kwanza Mzungu katika bunge la Kenya tangu uhuru.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Philip Leakey: poster boy for a question-driven life". The Seattle Times (kwa American English). 2011-08-19. Iliwekwa mnamo 2022-08-23.
- ↑ Kenya Times, December 11, 2005: "MP talks of plot to arrest Raila". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 15, 2005. Iliwekwa mnamo 2007-03-03.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |