Philip Levine (mshairi)

Philip Levine (10 Januari 192814 Februari 2015) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1995 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Philip Levine, 2006

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philip Levine (mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.