Philip Sang'ka Marmo

Philip Sang'ka Marmo (amezaliwa tar. 29 Desemba 1951) ni mbunge wa jimbo la Mbulu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Philip Sang'ka Marmo (18 Februari 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit