Phillemon Mikol Sarungi

Phillemon Mikol Sarungi (amezaliwa tar. 23 Machi 1936) ni mbunge wa jimbo la Rorya katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Phillemon Mikol Sarungi". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.