Phoenix Suns

Phoenix Suns ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Phoenix, Arizona. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Devin Booker, De’Andre Ayton.

Phoenix Suns

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phoenix Suns kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.