Phoenix ndiyo mji mkuu katika jimbo la Arizona. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 4.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 340 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji wa Phoenix, Arizona


Jiji la Phoenix
Nchi Marekani
Jimbo Arizona
Wilaya Maricopa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,552,259
Tovuti:  www.phoenix.gov


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Phoenix, Arizona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.