Phyllis Cormack
Phyllis Cormack ni boti la uvuvi wa nyavu ya mita 25 [1](sawa na futi 82) [2][2], ikisogeza tani 99 na wafanyakazi mpaka 12[2]. Chombo hicho cha mbao kilitengenzwa mwaka 1941, Takoma, Washington na Marine View Boat Works.
Marejeo
hariri- ↑ SHONA MCKAY. "Waging war on ugliness | Maclean's | DECEMBER 6, 1982". Maclean's | The Complete Archive (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-04. Iliwekwa mnamo 2022-05-11.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 "Living on Earth: Environmental Pioneers Profile # 24: The "Don't Make a Wave Committee" Were the Founders of Greenpeace". web.archive.org. 2017-10-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-01. Iliwekwa mnamo 2022-05-11.