Pico da Bandeira ni mlima wa Brazil, wenye kimo cha mita 2,892 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Pico da Bandeira

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pico da Bandeira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.