Pierre Akono
Pierre Ramses Pe Akono (alizaliwa 29 Juni 2000) ni mchezaji wa soka wa kimataifa kutoka Kameruni ambaye anachezea klabu ya Al Bidda kama kiungo wa kati.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Pierre Akono at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pierre Akono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |