Pierre Lalonde (Amezaliwa 20 Januari, 1941 – Amefariki 21 Juni, 2016) alikuwa mwimbaji na mtangazaji wa televisheni kutoka Kanada, ambaye wakati mwingine alijulikana kama Peter Martin nchini Marekani.[1][2] [3]

Marejeo

hariri
  1. Plouffe, Hélène (Oktoba 31, 2007). "Pierre Lalonde". The Canadian Encyclopedia. Iliwekwa mnamo Oktoba 9, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Peter Martin Show". The Classic TV Archive.
  3. Ha, Tu Thanh (Juni 22, 2016). "Quebec crooner Pierre Lalonde was a Sixties heartthrob". The Globe and Mail.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Lalonde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.