Pittsburgh, Pennsylvania

Pittsburgh au Pittsburg ni mji wa Marekani katika jimbo la Pennsylvania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 373 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Pittsburgh, Pennsylvania


Jiji la Pittsburgh

Bendera
Jiji la Pittsburgh is located in Marekani
Jiji la Pittsburgh
Jiji la Pittsburgh

Mahali pa mji wa Pittsburgh katika Marekani

Majiranukta: 40°26′30″N 80°00′00″W / 40.44167°N 80.00000°W / 40.44167; -80.00000
Nchi Marekani
Jimbo Pennsylvania
Wilaya Allegheny
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 316,718
Tovuti:  www.city.pittsburgh.pa.us
Mahali pa Pittsburgh (Kitongoji ya Allegheny) katika Pennsylvania
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pittsburgh, Pennsylvania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.