Plumage League ni kampeni inayofanyika kulaani utumiaji wa manywea ya ndege uliopitiliza kwa ajili ya mitindo iliyoanzishwa na Mchungaji Francis Orpen Morris na Lady Mount Temple Disemba mwaka 1885.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-10-27. Iliwekwa mnamo 2022-05-15.