1885
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1881 |
1882 |
1883 |
1884 |
1885
| 1886
| 1887
| 1888
| 1889
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1885 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- Uhindi: Kuundwa kwa INC (Indian National Congress) kama chama cha kwanza cha kisasa cha kupigania uhuru wa Uhindi.
- 27 Februari - Hati ya ulinzi kutoka serikali ya Ujerumani kwa ajili ya mikataba ya Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ni chanzo cha koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 7 Februari - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 1 Agosti - Georg von Hevesy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943)
- 15 Agosti - Edna Ferber, mwandishi kutoka Marekani
- 10 Septemba – Carl Van Doren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 7 Oktoba - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)
- 11 Oktoba - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)
- 2 Desemba - George Minot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
Waliofariki
hariri- 13 Januari - Schuyler Colfax, Kaimu Rais wa Marekani (1869-1873)
- 22 Mei - Victor Hugo, mwandishi maarufu kutoka Ufaransa
- 22 Juni - Muhammad Ahmad ibn Abd Allah aliyeanzisha Dola la Mahdi katika mji wa Omdurman
- 23 Julai - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 25 Novemba - Thomas Hendricks, Kaimu Rais wa Marekani (1885)
- 30 Machi - Mtakatifu Ludoviko wa Casoria, padri Mfransisko kutoka Italia
Wikimedia Commons ina media kuhusu: