Point Lenana ni kilele kimojawapo cha Mlima Kenya unaopatikana nchini Kenya katika kaunti ya Meru.

Point Lenana

Kina urefu wa mita 4,985 juu ya usawa wa bahari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri