Polisi Tanzania
Polisi Tanzania ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoa wa Kilimanjaro.
Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Ushirika.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Polisi Tanzania kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |