Pon Moun Paka Bougé


"Pon Moun Paka Bougé" ni albamu iliyotoka mwaka 1989 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu basi. Hii ni albamu ya sita ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baada ya Soucis Ya Likinga, Kwasa Kwasa, Moyibi na L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur! na Pepe-Kalle.

Pon Moun Paka Bougé
Pon Moun Paka Bougé Cover
Studio album ya Pepe Kalle
Imetolewa 1989
Imerekodiwa 1988-1989
Aina Soukous
Lebo Afro-Rythmes (Ufaransa — LP), Editions D'Ivoire (Kenya — LP)
Wendo wa albamu za Pepe Kalle
"L'Argent Ne Fait Pas Le Bonheur!"
(1988)
"Pon Moun Paka Bougé"
(1988)
"Atinze Mwana Popi"
(1989)

Matoleo ya muundo mwengine wa usikilizaji, yaani, LP nchini Kenya chini ya lebo ya Editions D'Ivoire, Marekani na Uingereza ilitoka CD chini ya lebo ya Celluloid—1991. Na 2003, nchini Colombia chini ya lebo ya Leon Records walitoa santuri nao, yaani, LP.

Orodha ya nyimbo hariri

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  1. Pon Moun Paka Bougé
  2. Djarabi - Adjatou
  3. Marché Commun
  4. Bilala - Lala

Viungo vya Nje hariri