Poor Righteous Teachers
Poor Righteous Teachers lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lenye athira kubwa ya East Coast hip hop. Wanachama wa kundi hili ni Wise Intelligent, Culture Freedom na Father Shaheed. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1989.
Poor Righteous Teachers | |
---|---|
Asili yake | Trenton, New Jersey Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1989–1996, 2001-Present |
Studio | Profile/Arista/BMG Records |
Tovuti | http://www.myspace.com/onlypoorrighteousteachers |
Wanachama wa sasa | |
Wise Intelligent Culture Freedom Father Shaheed |
Diskografia
haririMaelezo ya albamu |
---|
Holy Intellect
|
Pure Poverty
|
Black Business
|
The New World Order
|
Viungo vya nje
hariri- Poor Righteous Teachers katika MySpace
- Wise Intelligent katika MySpace
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Poor Righteous Teachers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |