Porto Alegre ni jina la mji mkuu wa jimbo la Rio Grande do Sul katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Porto Alegre


Rio Grande do Sul
Majiranukta: 30°01′59″S 51°13′48″W / 30.03306°S 51.23000°W / -30.03306; -51.23000
Nchi Brazil
Kanda South
Jimbo Rio Grande do Sul
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,436,123
Tovuti:  www.portoalegre.rs.gov.br

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Porto Alegre kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.