Pramokaini
Pramokaini (kwa Kiingereza: Pramocaine au Pramoxine, ni dawa inayotumiwa kuboresha kutokana na maumivu na kuwashwa kama vile inavyotokea kwenye bawasiri au kuumwa na wadudu.[1][2] Inatumika kwa ngozi.[1] Kuna matoleo yanayokuja huku yamechanganywa na corticosteroids.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuchoma kwenye mahali inapopakwa.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha athari za mzio, ingawa kwa ujumla ni salama hata kama mtu anaatharika na dawa zingine za ndani.[1] Dawa hii inafanya kazi kwa kuleta utulivu kwenye utando wa seli ya niuroni.[1]
Pramokaini ilielezewa katika mwaka wa 1953[3] na inapatikana kwenye kaunta.[1] Nchini Marekani, chupa moja inagharimu takriban dola 5 za Marekani kufikia mwaka wa 2021.[4]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Pramoxine Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 4, 2021. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 103. ISBN 978-0857114105.
- ↑ SCHMIDT, JL; BLOCKUS, LE; RICHARDS, RK (Novemba 1953). "The pharmacology of pramoxine hydrochloride: a new topical local anesthetic". Current researches in anesthesia & analgesia. 32 (6:1): 418–25. PMID 13107298.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Compare Pramoxine Hcl Prices - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 10, 2023. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pramokaini kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |