Primah Kwagala
Mwanasheria wa haki za kiraia na haki za binadamu wa Uganda
Primah Kwagala ni mwanasheria wa haki za kiraia na binadamu kutoka Uganda, mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa probono kwa wanawake (WPI) nchini Uganda.[1][2] Ameshughulikia kesi zinazohusisha kuzuiliwa kinyume cha sheria katika vituo vya afya, upatikanaji wa huduma ya dharura ya uzazi na kupata dawa muhimu bila malipo, na zaidi.[3][4]
Marejeo
hariri- ↑ "Primah Kwagala". Namati (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-29.
- ↑ "U.S. missionary with no medical training sued over deaths of Ugandan children in unlicensed centre". CTVNews (kwa Kiingereza). 2019-08-13. Iliwekwa mnamo 2022-04-29.
- ↑ "Primah Kwagala | Aspen Ideas". Aspen Ideas Festival (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-04-29.
- ↑ "CC Uganda Staff". CC Uganda (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-04-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Primah Kwagala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |