Prince Paul (mtayarishaji)
Paul Huston, (amezaliwa tar. 2 Aprili 1967[1]) anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Prince Paul, ni DJ na mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani.[2] Pia alikuwa mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la Gravediggaz ambamo alitumia jina la The Undertaker.
Prince Paul | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Paul Huston |
Asili yake | Amityville, New York, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop, R&B |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji na DJ |
Miaka ya kazi | 1985– |
Studio | Tommy Boy/Warner Bros. Records Elektra Records WordSound Records Razor and Tie Records |
Ame/Wameshirikiana na | Stetsasonic Handsome Boy Modeling School Gravediggaz De La Soul MC Paul Barman Chris Rock Big Daddy Kane Resident Alien Horror City Dino 5 |
Awali alikuwa mwanachama wa Stetsasonic, ametayarisha vibao chungumzima katika maalbamu ya hip-hop kama vile albamu ya kwanza ya 3rd Bass ya 1989 The Cactus Album na albamu za kwanza tatu za De La Soul. Baada ya hapo akawaweka albamu mbili zakujitegemea kwa pamoja: Psychoanalysis: What is It? na A Prince Among Thieves, ambamo ndani yake kulikuwa na Big Daddy Kane, Xzibit, Kool Keith na Everlast.
Yeye, akiwana Frukwan wa Stetsasonic, Too Poetic wa Brothers Grimm, na The RZA wa Wu-Tang Clan, wameunda kundi la Gravediggaz.
Diskografia
haririAlbamu za kujitegemea
hariri- 1996: Psychoanalysis: What is It? (WordSound Records, baadaye ikaja kutolewa tena na Tommy Boy/Warner Bros. Records mnamo mwaka wa 1997 ikiwa na ongezeko la vitu vilivyokatwa katika toleo la awali)
- 1999: A Prince Among Thieves (Tommy Boy/Warner Bros. Records)
- 2003: Politics of the Business (Razor & Tie)
- 2005: Itstrumental (Female Fun Records)
- 2005: Hip Hop Gold Dust (Antidote)
- 2012: Negroes on Ice
Albamu za kolabo
hariri- 1986: On Fire (Stetsasonic)
- 1988: In Full Gear (Stetsasonic)
- 1989: 3 Feet High and Rising (De La Soul)
- 1991: Blood, Sweat & No Tears (Stetsasonic)
- 1991: De La Soul Is Dead (De La Soul)
- 1992: It Takes a Nation of Suckas to Let Us In (Resident Alien)
- 1993: Buhloone Mindstate (De La Soul)
- 1994: Niggamortis/6 Feet Deep (Gravediggaz)
- 1995: Prince Paul presents Horror City (Horror City) (released as a free download)
- 1996: Mistaken Identity (Vernon Reid)
- 1999: So... How's Your Girl? (Handsome Boy Modeling School)
- 2000: It's Very Stimulating (MC Paul Barman)
- 2004: White People (Handsome Boy Modeling School)
- 2005: The Art of Picking Up Women (The Dix)
- 2007: Turn My Teeth Up! (Baya Elephant)
- 2008: Baya Loves Hip Hop presents The Dino 5 (Dino 5)
- 2009: Montezuma's Revenge (Souls of Mischief)
Kazi alizotayarisha
hariri- It's a Big Daddy Thing ya Big Daddy Kane (1989)
- The Cactus Album ya 3rd Bass (1989)
- All Hail the Queen ya Queen Latifah (1989)
- To Your Soul ya Jaz-O (1990)
- Starting from Zero ya Groove B Chill (1990)
- Taste of Chocolate ya Big Daddy Kane (1990)
- Derelicts of Dialect ya 3rd Bass (1991)
- Daddy's Little Girl ya Nikki D (1991)
- Sex and Violence ya Boogie Down Productions (1992)
- I Thought U Knew ya Candyman (1993)
- My Field Trip to Planet 9 ya Justin Warfield (1993)
- Behind Bars ya Slick Rick (1994)
- Latin Lingo (Prince Paul Mix) ya Cypress Hill (1996)
- America is Dying Slowly ya Various Artists (1996)
- Downlow - The Hip Hop Underground ya Various Artists (1996)
- The Pick, the Sickle and the Shovel ya the Gravediggaz (1997)
- Roll With the New ya Chris Rock (1997)
- Lyrical Chemical ya Metabolics (1998)
- Bigger & Blacker ya Chris Rock (1999)
- Both Sides of the Brain ya Del tha Funkee Homosapien (2000)
- Dawn of the Dead ya Mr. Dead (2000)
- Coast II Coast ya Various Artists (2001)
- Against All Odds ya Tragedy Khadafi (2001)
- The Best Part ya J-Live (2001)
- The Hip-Hop Experiment ya Various Artists (2002)
- Paullelujah! ya MC Paul Barman (2002)
- Palace of the Pretender ya Last Emperor (2003)
- Mm..LeftOvers ya MF Doom (2004)
- Thought Balloon Mushroom Cloud ya MC Paul Barman (2009)
Marejeo
hariri- ↑ http://www.imdb.com/name/nm1009731/
- ↑ Heimlich, Adam. "The artist currently known as Prince Paul", 21 Aprili 1999. Retrieved on 2 Februari 2011. Archived from the original on 2020-07-02.
Viungo vya Nje
hariri- Prince Paul RBMA video lecture session Archived 20 Aprili 2008 at the Wayback Machine.