Promise David
Promise Oluwatobi Emmanuel David Akinpelu (anajulikana kama Promise David; alizaliwa Kanada, Julai 3, 2001) ni mchezaji wa soka wa kulipwa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Royale Union Saint-Gilloise katika Ligi ya Belgian Pro.
Ni ni mchezaji wa kimataifa wa vijana kwa timu ya Nigeria.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Erons, Imhons (Julai 1, 2024). "Union SG aim for a repeat Victor Boniface operation with Promise Akinpelu David transfer - Soccernet NG".
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Adeyanju, Oluwayemisi Afolabi (Septemba 18, 2021). "The Promising Star: Promise Akinpelu". CKDmedia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-07-26. Iliwekwa mnamo 2024-12-01.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Promise David kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |