Ptolemaio
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Ptolemaio ni jina la Ugiriki ya Kale Πτολεμαῖος (Ptolemaios).
Linaweza kumtaja
- Klaudio Ptolemaio, mtaalamu wa hisabati, astronomia na jiografia wa karne ya 2 kutoka mjini Aleksandria, Misri
- Ptolemaio I, jenerali wa Aleksander Mkuu aliyeendelea kuwa mtawala wa Misri mnamo mwaka 300 KK
- Nasaba ya Waptolemaio, familia ya wafuasi wa Ptolemaio I