Public Enemy

(Elekezwa kutoka Public Enemy (band))

Public Enemy ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City na Long Island nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Chuck D, Flavor Flav, Professor Griff, DJ Lord na The S1W.

Flavor Flav na Chuck D

Diskografia

hariri
Albamu

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Public Enemy kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.