Q-Tip
Kamaal Ibn John Fareed (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q-Tip, amezaliwa na jina la Jonathan Davis; 10 Aprili 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka mjini St. Albans, Queens, New York huko Marekani. Ni mmoja kati ya wanachama matata kabisa wa kundi zima la hip hop la A Tribe Called Quest.
Q-Tip | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jonathan Davis |
Pia anajulikana kama | Abstract, MC Love Child |
Amezaliwa | 10 Aprili 1970 |
Asili yake | St. Albans, Queens, New York, Marekani |
Aina ya muziki | East Coast hip hop, alternative hip hop |
Kazi yake | Mburudishaji |
Ala | Sauti, Kinanda, Bass, ngoma |
Miaka ya kazi | 1986 – hadi sasa |
Studio | Jive, Arista, Universal Motown, Battery, GOOD Music, Def Jam |
Ame/Wameshirikiana na | A Tribe Called Quest, De La Soul, Jungle Brothers, Queen Latifah, Busta Rhymes, Mobb Deep, Beastie Boys, Mary J. Blige, Talib Kweli, Ice Cube, Cypress Hill, Consequence, Mark Ronson, Janet Jackson, Kurt Rosenwinkel, Faith Evans, Native Tongues, R.E.M. |
Tovuti | qtiponline.com |
John Bush wa Allmusic anamwita "rapa/mtayarishaji mahiri katika historia nzima ya hip-hop,"[1] wakati wahariri wa About.com wamemweka katika orodha yao ya 50-Bora ya Watayarishaji wa Hip-Hop,[2] na vilevile kumweka katika orodha yao ya Ma-MC Bora-50 wa Kipindi Chetu (1987–2007).[3] Mwaka wa 2012, jarida la The Source wamemweka nafasi ya 20 katika orodha yao ya Washairi 50 Bora wa Muda Wote.[4]
Kazi
haririA Tribe Called Quest
haririKazi za kujitegemea
haririDiskografia
hariri- 1999: Amplified
- 2008: The Renaissance
- 2009: Kamaal/The Abstract
- 2013: The Last Zulu
Filmografia
hariri- 1993: Poetic Justice
- 1999: Love Goggles
- 2000: Disappearing Acts
- 2001: Prison Song
- 2002: Brown Sugar
- 2004: She Hate Me
- 2008: Cadillac Records
- 2010: Holy Rollers
Marejeo
hariri- ↑ Bush, John. (2008-11-04) The Renaissance – Q-Tip. AllMusic. Retrieved on 2011-12-18.
- ↑ Top 50 Hip-Hop Producers Ilihifadhiwa 10 Mei 2015 kwenye Wayback Machine.. Rap.about.com. Retrieved on 2011-12-18.
- ↑ Top 50 MCs of Our Time: 1987 – 2007 – 50 Greatest Emcees of Our Time Ilihifadhiwa 9 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.. Rap.about.com. Retrieved on 2011-12-18.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-09. Iliwekwa mnamo 2013-06-09.
Viungo vya Nje
hariri- Official website
- Q-Tip katika Discogs
- Q-Tip at the Internet Movie Database
Kigezo:Q-Tip Kigezo:A Tribe Called Quest Kigezo:Soulquarians Kigezo:GOOD Music