R2Bees

wanamuziki wa Ghana


R2Bees ni kundi la muziki wa hip hop wa Ghana na mshabiki wa maisha ya hiplife kutoka huko Tema ambayo imeundwa na binamu wawili, Faisal Hakeem (Paedae da Pralem/Omar Sterling) na Rashid Mugeez (Mugeez). Walitunukiwa tuzo kwenye tamasha la 2013 BET Awards.[1] Mnamo mwezi Machi mwaka 2019, kikundi hicho kilitoa alibamu [2] yao ya 3 ifahamikayo kwa jina la Site 15.[3]

R2Bees

Marejeo hariri

  1. "R2bees nominated for BET awards". 14 May 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 14 May 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "R2BEES LAUNCHES IT SECOND ALBUM: THE REVOLUTION II", Modern Ghana (kwa en-US), iliwekwa mnamo 2023-02-26 
  3. "3rd studio album, Site 15". Iliwekwa mnamo 16 March 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)