Rachael Laws
Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka uingereza (aliyezaliwa 1990)
Rachael Laws (alizaliwa 5 Novemba 1990)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kipa klabu ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[3]
Marejeo
hariri- ↑ "Rachael Laws - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2024-03-22. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-31. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Liverpool FC Women complete Rachael Laws signing". Liverpool FC. 2020-07-07. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rachael Laws kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |