Raffles Hotel [1]ni hoteli ya kifahari iliyo na mtindo wa Kikoloni wa Uingereza huko Singapore. Ilisimamiwa na familia ya Waarmenia, Sarkies Brothers, tangu mwaka 1887. Jina la hoteli limetokana na Sir Thomas Stamford Raffles, mwanasiasa wa Uingereza aliyeanzisha Singapore. Imekuwa mali ya Raffles Hotels & Resorts na inasimamiwa na AccorHotels baada ya kununua FRHI Hotels & Resorts. Hoteli hii inamilikiwa na Katara Hospitality, kampuni ya serikali ya Qatar[2].

Raffles Hotel


Marejeo hariri

  1. Cangi, Ellen C. (1 Aprili 1993). "Civilizing the people of Southeast Asia: Sir Stamford Raffles' town plan for Singapore, 1819–23". Planning Perspectives 8 (2): 166–187. doi:10.1080/02665439308725769. 
  2. "Accor Buys Luxury Fairmont Brands as Hotel Deals Heat Up". BloomburgBusiness. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2015.  Unknown parameter |df= ignored (help); Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raffles Hotel kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.