Raga ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Bahr al-Ghazal Magharibi.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 3,700 mwaka 2010.