Rajive Bagrodia
Rajive Bagrodia, Ph.D.[1] ni mjasiriamali na mtaalamu wa kompyuta Mmarekani mwenye asili ya Uhindi. Ni mwanzilishi na afisa mkuu wa kiufundi wa Scalable Network Technologies na pia ni profesa wa elimu ya juu katika sayansi ya kompyuta katika chuo cha UCLA[2].
Marejeo
hariri- ↑ "Rajive Bagrodia" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-09.
- ↑ "Search For Faculty | UCLA Samueli School Of Engineering" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-09.