Raketi (ing. racket) ni kifaa cha michezo kinachotumiwa kupiga kiolwa kama mpira.
Raketi ya tennis kwenye mchezo
Inatumiwa kwa michezo kama vile squash, tennis, mpira wa meza na badminton.
Huwa na sehemu ya kuishikilia kwa mkono na sehemu pana kwa kupiga mpira.