Ralf Krewinkel

Ralf Karel Hubert Krewinkel (amezaliwa 12 Novemba 1974) ni mwanasiasa kutoka Uholanzi. Tangu 31 Agosti 2015 yeye ni Meya wa Manispaa ya Heerlen katika jimbo la Limburg, Uholanzi. Alikuwa Meya wa Manispaa ya Beek kuanzia 2011 hadi 2015. Alizaliwa Kerkrade (pia Limburg, Uholanzi).

Ralf Krewinkel

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ralf Krewinkel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.