Rangi ya waridi

Rangi ya waridi au pinki (kutoka ing. pink) ni nyekundu isiyoiva yenye nyeupe ndani yake.

Aina za rangi ya waridi

Katika tamaduni kadhaa hutazamiwa kama rangi ya kike.

Maua ya waridi huwa na rangi hii kiasili lakini kuna pia waridi yenye rangi tofauti.

Waridi yenye rangi ya waridi