Rea Vipingo ni kampuni ya katani. Makao makuu yapo Nairobi. Inaendesha mashamba ya katani katika Kenya na Tanzania.