Realme Narzo 30 Pro

Realme Narzo 30 Pro 5G ni simu mahiri ya Android iliyotengenezwa na mtengenezaji wa China Realme na ilizinduliwa tarehe 24 Februari 2021. Ni simu mahiri ya pili kati ya mfululizo wa Narzo 30 uliozinduliwa na kampuni hiyo. Narzo 30 Pro inapatikana katika rangi mbili: Blade Silver na Sword Black.[1][2][3]

Tanbihi

hariri
  1. "Realme Narzo 30 Pro Price in India, Specifications, Comparison (8th March)". NDTV Gadgets 360 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Realme Narzo 30 India Launch". India Express (kwa Kiingereza). 25 Februari 2021. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Realme unveils Narzo 30 Pro 5G series, Buds Air 2 in India". deccanherald (kwa Kiingereza). 24 Februari 2021. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.