Refa ni mtu anayesimamia na kuongoza michezo mbalimbali kama ngumi, mpira wa miguu, mpira wa kikapu n.k.

Refa (upande wa kulia) akiongoza mechi ya mpira wa miguu kwa kutoa kadi ya njano.

Refa huhakikisha sheria za mchezo husika zinafuatwa kikamilifu.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Refa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.