Mkoa wa Magallanes na Antaktiki ya Chile
(Elekezwa kutoka Región de Magallanes y de la Antártica Chilena)
Magallanes na Antaktiki ya Chile (Kihispania: XII Región de Magallanes y de la Antártica Chilena) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Chile. Mji mkuu wake ni Punta Arenas.
Wilaya za Magallanes na Antaktiki ya Chile
haririTazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magallanes na Antaktiki ya Chile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |